Meridianbet imeongeza burudani nyingine ya kisasa kwenye ulimwengu wa michezo ya kasino kupitia Super Heli Premium, mchezo unaokuweka kwenye safari ya helikopta yenye odds zinazopanda kadri safari inavyoendelea. Hapa kila raundi inaanza kwa mchezaji kuchagua kiasi cha dau kabla ya helikopta kuanza kupaa. Kadri safari inavyoendelea, odds zinaongezeka, na hapo ndipo msisimko unapopanda kwa sababu mchezaji anapaswa kufuatilia hatua kwa hatua na kuamua muda wa kubofya Cash-out ili kuchukua ushindi unaopatikana.
Mchezo huu hauishii kwenye dau moja pekee, kwani mchezaji anaweza kuweka hadi madau matatu kwa raundi moja. Kuna pia kipengele cha Range, kinachomruhusu mchezaji kuweka dau kukadiria ambapo anaamini helikopta itafikia. Mfumo hutoa odds zinazolingana na chaguo hilo, na hivyo kumpa mchezaji nafasi ya kuingia kwenye raundi kwa mtazamo tofauti.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwa wanaopenda kuchagua kiwango maalumu, Over/Under inatoa nafasi ya kuamua kama helikopta itapaa zaidi au chini ya makadirio yaliyochaguliwa. Zaidi ya hapo, 50% Cashout inakuja kama chaguo jingine la kuvutia. Baada ya helikopta kuanza safari, mchezaji anaweza kuchukua asilimia 50 ya ushindi unaowezekana na kuendelea na sehemu iliyobaki.
Hata mandhari ya safari imepewa nafasi yake. Mchezaji anaweza kuchagua nchi ambayo helikopta itaruka juu yake, hivyo kubadilisha mwonekano wa mchezo kulingana na chaguo lake.
Sasa ni zamu yako kuingia kwenye safari mpya ya Super Heli Premium ndani ya Meridianbet. Chagua dau lako, fuatilia helikopta, na fanya uamuzi wako kwa wakati unaofaa.