MAKAMU wa Rais Balozi Emmanuel Nchimbi amewasili katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Ruvuma kushiriki Ibada ya Mazishi ya aliyekuwa Askofu wa Pili wa Anglikana Dayosisi ya Ruvuma na Katibu Mkuu Mstaafu wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Marehemu Askofu Stanford Shauri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …n(endelea).
Ibada inayofanyika Liuli Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma leo tarehe 6 Mei 2026.
