Meridianbet imekuja na habari njema kwa mashabiki wa kasino kupitia mchezo mpya wa Skyward Deluxe. Huu ni mwezi wa zawadi, ushindani na fursa nyingi za kushinda kila siku unapoingia kucheza.
Promosheni ya Warm-Up ya mashindano ya dunia imebeba Sky Drops zinazotoa zawadi kila saa. Kadri unavyocheza ndivyo unavyozidi kufungua nafasi za kujinyakulia beti zas bure za ziada.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kabla ya mechi kuanza, Build-Up Drops zinahakikisha msisimko unaendelea. Wachezaji wanaweza kupata zawadi maalum na kuongeza furaha ya kushiriki kwenye promosheni hii kubwa.
Pamoja na hilo, msimamo wa uongozi wa siku, wiki na mwezi unakupa nafasi ya kuonyesha ubora wako dhidi ya wachezaji wengine. Panda juu ya viwango na ujinyakulie zawadi zinazokusubiri.
Beti za bure zote hutolewa moja kwa moja katika thamani ya pesa kulingana na mchezo wako. Cheza, chukua pesa, panda kwenye msimamo na uwe mshindi kila siku ukitumia Skyward Deluxe ndani ya Meridianbet.