Watu wengi huamini kuwa kwenye kubeti, matokeo ya mwanzo ndiyo mwisho wa hadithi. Lakini Meridianbet wameleta mtazamo mpya unaokwambia kwamba mchezo unaweza kubadilika hadi dakika ya mwisho.
Ndani ya Win&Go, kipengele cha Lucky Loser kinabadilisha kabisa maana ya kukosa. Hata kama namba zako 6 hazijatoka kabisa, tiketi yako haiondoki mikono mitupu, inapata nafasi ya kubadilishwa kuwa ya ushindi.
Vilevile, Michezo mingi zaidi ya kubashiri inaendelea kupatikana ndani ya Meridianbet ikiwa na ODDS kubwa na machaguo mengi zaidi. Kushiriki ni vyepesi kupitia tovuti ya MERIDIANBET au kwa kupiga *149*10#.
Hii si bahati ya kawaida. Meridianbet wanazidisha dau lako mara 30 kupitia mfumo huu, hivyo kila mchezo unakuwa na msisimko wa ziada kwa sababu hujui kama mwisho wake utageuka kuwa ushindi.
Kipengele hiki kinachotumika kwa tiketi za pesa halisi kwenye Win&Go kinawapa wachezaji nafasi ya kuona mchezo kwa namna mpya, sio kama ushindi au hasara tu, bali kama mchezo unaoweza kubadilika wakati wowote.
Meridianbet wanaendelea kuthibitisha kuwa kubeti ni zaidi ya matokeo ya kawaida, ni uzoefu na nafasi mpya za ushindi. Cheza Win&Go leo, na acha Lucky Loser ikuoneshe kwamba mchezo hauishi mpaka mwisho.