RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiagana na mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah, katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni 2026.Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ….(endelea).
Rais Netumbo Nandi-Ndaitwah amehitimisha ziara yake ya kitaifa ya siku nne nchini Tanzania, ambapo pamoja na kufanya mazungumzo na Rais Samia Suluhu Hassan, alitembelea pia Kambi ya Kihistoria ya Wapigania Uhuru wa Namibia iliyopo Kongwa, mkoani Dodoma