MAZISHI ya aliyekuwa kiongozi mkuu wa Iran Ali Ayatollah Khamenei yataanza tarehe 4 mwezi Julai hadi tarehe 9 mwezi Julai ambapo atazikwa Kaskazini Mashariki mwa mji wa Mashhad.Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ….(endelea).
Khamenei aliuawa katika shambulio lililotekelezwa na Israel na Marekani mwezi Februari, na kumaliza utawala wake wa Zaidi ya miongo mitatu kama kiongozi mkuu wa Iran.