Uwanja wa burudani umefunguliwa na safari mpya ya ushindani imeanza ndani ya Meridianbet. Safari hii ni zamu ya Endorphina Tournament, mashindano yanayowapa wachezaji nafasi ya kukusanya pointi kupitia ushindi kwenye sloti za kasino zinazoshiriki. Hapa kila raundi inaweza kuleta msisimko, lakini kinachoongeza ladha ni namna ushindi wako unavyoweza kubadilika kuwa pointi za mashindano.
Kuingia kwenye mashindano haya si jambo gumu hata kidogo kwani unachohitaji ni kuweka dau lako tu, baada ya hapo, kila ushindi unaoupata kwenye sloti zinazostahili unaweza kukupa pointi kulingana na kiwango cha vizidishi unachopata. Maana yake ni kwamba ukubwa wa ushindi wako ukilinganishwa na dau lako ndio unaosaidia kuamua idadi ya pointi utakazokusanya.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mfano mmoja unatosha kuonyesha moto wa mashindano haya. Ukiweka dau la Tsh. 3,000 na ukashinda Tsh. 30,000, utapata pointi 1,000. Lakini kama dau lako litabaki Tsh. 3,000 na ushindi ukaenda hadi Tsh. 60,000, safari hii unavuna pointi 2,000. Hapo ndipo kila ushindi unapoanza kuwa muhimu, kwa sababu pointi zinajikusanya hatua kwa hatua.
Na ukipata ushindi huo mara mbili, hesabu inakuwa tamu zaidi, pointi 1,000 kutoka kwenye ushindi wa kwanza zikiongezwa na pointi 2,000 za ushindi wa pili zinakupa jumla ya pointi 3,000. Kwa hiyo, mashindano haya yanakupa nafasi ya kuona ushindi wako ukigeuka kuwa alama ndani ya safari yako ya Endorphina Tournament.
Endorphina Tournament sasa ipo Meridianbet. Ingia kwenye sloti zinazoshiriki, anza kwa dau lolote na kusanya pointi kupitia ushindi wako. Kila ushindi unaongeza alama, na kila alama inaongeza msisimko wa mashindano. Cheza na ufurahie burudani ya Endorphina ndani ya Meridianbet.