Hakukuwa na namna nzuri zaidi ya Meridianbet kujionesha kwenye jukwaa la UFC kuliko usiku uliojaa historia, kasi na knockout. Meridianbet ilikuwa mdhamini wa UFC Fight Night, tukio lililofanyika Belgrade Arena mnamo Agosti 1, 2026, wakati UFC ilipofungua ukurasa mpya kwa kufanya tukio lake nchini Serbia kwa mara ya kwanza.
Mbele ya mashabiki wa nyumbani, Uroš Medić alihakikisha usiku huo unakuwa wa kukumbukwa. Daniel Rodriguez alidumu kwa sekunde 30 pekee kabla ya mwamuzi kusimamisha pambano baada ya Medić kumpiga kwa mfululizo wa mashambulizi makali. Ngumi ya overhand ya kushoto ndiyo iliyomaliza mchezo. Medić akionyesha kwa nini alikuwa akipewa nafasi kubwa na mashabiki wake.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Takwimu zilikuwa ushahidi wa wazi wa ubabe huo. Medić alifanikiwa kuunganisha mashambulizi 11 kati ya 14, akifikisha usahihi wa asilimia 78 ndani ya sekunde 30. Rodriguez alifanikiwa kuunganisha shambulio moja tu kati ya matatu, kabla pambano hilo kugeuka kuwa ushindi wa TKO kwa mpiganaji wa Serbia.
Na wakati Medić akiandika historia kwenye pambano kuu, Michael “PQD” Oliveira naye alikuwa akianza safari yake ya UFC chini ya udhamini wa Meridianbet Brazil. Oliveira alifanikiwa kupata knockout katika raundi ya kwanza, na kuongeza tukio jingine kubwa kwenye usiku ambao Meridianbet ilikuwa tayari imejikita kwenye jukwaa la MMA kupitia udhamini wake wa UFC Fight Night.
Belgrade Arena ilishuhudia zaidi ya mapambano, ilikuwa sehemu ya hadithi ya Meridianbet katika michezo ya kimataifa. Udhamini wa tukio hilo uliipa chapa nafasi ya kuonekana kwenye jukwaa la UFC, wakati matokeo ya Medić na Oliveira yakiongeza ladha ya usiku huo.