BAADHI ya makatibu wa mikoa wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), wametaka mchakato wa kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, uangaliwe upya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).Â
Kwa mujibu wa taarifa ya makatibu hao kwa umma, iliyotolewa leo, tarehe 10 Julai mwaka huu, viongozi hao wamesema, hawajiridhika na mchakato wa kumuondoa Salum ulivyoendeshwa.
Aidha, katika waraka huo, makatibu hao wa mikoa wanasema, hatua ya kumteua Benson Kigaila, kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Chaumma, inakwenda kinyume na katiba.
Taarifa zaidi, endelea kusoma MwanaHALISI.