MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba.Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ….(endelea).
Mkutano kati ya Jaji Warioba na Dk. Nchimbi, umefanyika katika makazi yake, yaliyoko Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam.
Hakuna taarifa kamili iliyotolewa mpaka sasa kuhusiana na kilichozungumzwa katika mkutano kati ya Balozi Nchimbi na Jaji Warioba.
gazeti hili, linaendelea kufuatilia jambo hilo.
mwisho