Leo Mei 10 saa 9:45 usiku Uwanja wa San Siro utakuwa mwenyeji wa mchezo mzito wa Serie A kati ya AC Milan waliopo nafasi ya 3 na Atalanta ipo nafasi ya 7.
Milan wakiwa na pointi 67 wanashindana kwa nafasi ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya, huku wakiwa na pointi 2 tu mbele ya Juventus (nafasi ya 4) na Roma (nafasi ya 5) . Atalanta wakiwa na pointi 55 wamejihakikishia Kombe la Ulaya lakini wanatafuta kumaliza msimu katika nafasi za juu zaidi .
Milan wana mapigo makubwa ya kutokuwepo kwa beki wao Fikayo Tomori ambaye yupo nje kutokana na kadi nyekundu . Pia, kiungo hodari Luka Modric ameumia atakuwa amemaliza msimu .
Upande wa Atalanta, wanamkosa Bernasconi aliyeumia kwa jeraha la goti kwa muda mrefu, huku De Ketelaere na Djimsiti wakiwa kwenye hatari ya kukosa mechi zifuatazo kwa kadi .
Katika historia ya makabiliano kati ya timu hizi, AC Milan ana ubabe mdogo wakiwa wameshinda mara 16, Atalanta 14, huku mechi 10 zikiisha kwa sare katika michezo 40 iliyopita . Katika michezo mitano ya mwisho, Milan wameshinda mara 2, sare 1 na kushindwa mara 2 . Mchezo wa mwisho kati yao ulimalizika kwa ushindi wa Milan 2-1, lakini Atalanta wamekuwa wakisumbua wapinzani wao ugenini kwa rekodi ya ushindi 5 nyumbani kwa Milan.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kocha Massimiliano Allegri anatarajiwa kufanya mabadiliko makubwa baada ya kichapo cha 3-1 dhidi ya Sassuolo . Koni De Winter anachukua nafasi ya Tomori katika safu ya ulinzi ya watu watatu pamoja na Gabbia na Pavlovic.
Katika kiungo, Youssouf Fofana anachukua nafasi ya Modric huku Ruben Loftus-Cheek akitarajiwa kuanza upande wa kulia. Mbele, Santiago Gimenez anaweza kuungana na Rafael Leao badala ya Pulisic . Atalanta watategemea Lookman na De Ketelaere katika mfumo wao wa kushambulia.
Milan wa nahitaji ushindi kuhakikisha nafasi ya Champions League, huku ya Atalanta wakiwa na silaha za kutosha kusumbua ulinzi uliopungukiwa na Tomori. Kwa ufupi, Milan wanatarajiwa kushinda, lakini Atalanta wakiwa wamepoteza mara 5 tu ugenini msimu huu. Jisajili