MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara John Heche tarehe 17 leo Julai 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena, mjini Tarime.Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ….(endelea).
Mkutano huo uliwakutanisha wazee kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa huo kwa lengo la kubadilishana mawazo na kujadili masuala yanayohusu jamii pamoja na maendeleo ya kisiasa na kijamii.
Katika kuhitimisha mkutano huo, Wazee wa Mkoa wa Mara walimkabidhi Heche
zawadi ya mbuzi mmoja pamoja na mikungu ya ndizi kama ishara ya heshima, upendo na kuthamini uongozi wake.