Meridianbet imechochea msisimko wa kasino kwa kuleta Evoplay Summer Season of Legends, mashindano yanayowapa wachezaji nafasi ya kushindania zawadi kubwa inayofikia TZS 1,089,000,000.
Kila mzunguko unaochezwa unaweza kuwa mwanzo wa safari ya kuelekea kileleni mwa msimamo. Ukiweka dau kuanzia TZS 600, unaanza kukusanya nafasi za kushindana na wachezaji wengine wanaotafuta ushindi.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Miongoni mwa michezo inayoshiriki ni Queen of Sirens, Budai Reels, Cycle of Luck, Imperial Relics: Three Pots pamoja na Hot Triple Sevens Hold & Win, ambayo imejaa burudani na fursa za kujikusanyia pointi.
Kwa mfumo wa awamu za kila mwezi, mashindano haya yanaendelea kutoa nafasi mpya za kuonyesha ubora wako. Kila mwezi ni ukurasa mpya wa mafanikio kwa wale wanaothubutu kushiriki.
Usikose nafasi ya kuwa sehemu ya historia ya Summer Season of Legends. Ingia Meridianbet kasino, cheza michezo husika na uanze safari yako ya kuwa legend wa kweli.