Kuna aina ya ushindi ambao huanza kwa hatua moja tu, na Meridianbet imekuandalia nafasi hiyo kupitia promosheni ya Mzuka wa Mabingwa. Wateja wa Airtel Money sasa wanaweza kushinda Bajaj, PlayStation 5, Hisense TV, simu janja pamoja na mizunguko ya bure.
Safari ya ushindi inaanza kwa kuweka angalau TZS 5,000 kupitia Airtel Money na kucheza mchezo wowote wa kasino wenye thamani ya TZS 5,000 au zaidi. Ni rahisi, haraka na kila mchezo unakupa nafasi ya kushinda.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kila siku washiriki wanaweza kujishindia mizunguko 250 ya bure, huku droo za kila wiki zikitoa simu janja kwa washindi wenye bahati. Hii ni promosheni inayokupa sababu zaidi za kufurahia michezo ya kasino.
Fikiria furaha ya kuondoka na PlayStation 5 mpya, Hisense TV au hata Bajaj yako mwenyewe. Hizo ndizo zawadi zinazokusubiri ndani ya Mzuka wa Mabingwa kwa washiriki watakaoonyesha bahati na ushiriki wa hali ya juu.
Jiunge leo kupitia Meridianbet, tumia Airtel Money kuweka fedha zako na uanze kucheza. Mzuka wa Mabingwa umeanza rasmi, na zawadi kubwa zinatafuta washindi wapya kila siku.