Said Issa Mohammed
MAHAKAMA Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam tarehe 25 Mei 2025, inatarajia kuanza kusikiliza shauri Na. 12194/2026 la Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), dhidi ya Said Issa Mohammed na wenzake Ahmed Rashid Khamis na Maulida Anna Komu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Wengine ni Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama hicho .
Shauri hilo litakalosililizwa na Jaji David Ngunyale, limetokana na shauri Na 8323/2025 la Said Issa na wenzake dhidi ya Chadema.
Wakati huo huo inaelezwa kuwa kesi Na. 19605 ya mwaka 2025, Jamhuri dhidi ya Lissu inatarajiwa kuanza tarehe 11 Juni 2026, kwenye mahakama ya rufaa.