Tundu Lissu akiwa mahakamani
KESI ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Antipas Lissu imepangwa kuendelea tarehe 11 June 2026 huku hali yake ya kiafya akiwa anaendelea vizuri. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Taarifa kutoka gereza la Ukonga inasema Lissu anaendelea vizuri kiafya na ameomba wanachama wa Chadema kuhudhuria kwa wingi Mahakama Kuu jumatatu ya tarehe 25 Mei 2026 katika kesi ya Chadema ya mgawanyo wa mali.