RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameagana rasmi na Rais wa Kenya William Ruto, mara baada ya kuhitimika kwa ziara ya kitaifa ya kiongozi huyo wa Kenya nchini Tanzania.Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).
Hafla ya kuagana imefanyika katika viwanja vya gwaride Ikulu ya Chamwino mkoani Dodomaleo tarehe 5 Mei 2026 ambapo viongozi hao wawili walionekana wakisisitiza mshikamano na ushirikiano wa kidiplomasia kati ya mataifa yao.