Uwanja wa kasino umepewa moto mpya na Meridianbet kupitia Expanse Epic Spins, Epic Rewards, mashindano ambayo yameweka TSh milioni 6 kama zawadi kwa washiriki watakaofanya vizuri kwenye msimamo. Promosheni hii inapatikana kupitia michezo maalum ya Expanse ndani ya Meridianbet na itaendelea hadi Agosti 21, 2026.
Sheria ya mchezo ni rahisi kufuatilia, dau la chini kwa kila mzunguko ni TSh 500, huku nafasi kwenye msimamo ikitokana na jumla ya kiasi kilichowekewa dau kwenye michezo inayoshiriki. Hivyo, kadri mbio zinavyoendelea, macho yatakuwa kwenye msimamo kuona ni nani anayepanda, nani anayeshuka na nani anayekaribia kilele.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwenye kilele hicho kuna zawadi ya TSh 1,500,000 kwa mshindi wa kwanza, ikifuatiwa na TSh 1,000,000 kwa nafasi ya pili na TSh 600,000 kwa nafasi ya tatu. Nafasi ya nne na tano nazo zina zawadi ya TSh 450,000 kila moja, zikifanya nafasi 5 za juu kuwa eneo lenye ushindani mkubwa.
Kwa upande wa nafasi 20 za juu, nafasi ya 6 hadi 10 zitapata TSh 200,000 kila moja, huku nafasi ya 11 hadi 20 zikipewa TSh 100,000 kila mmoja. Kwa mpangilio huo, jumla ya zawadi zote inafikia TSh milioni 6, huku washiriki wakipambana hadi dakika za mwisho kuhakikisha wanamaliza ndani ya nafasi zinazolipa.
Expanse sasa imeweka changamoto mezani kwa wachezaji wa kasino, utaweza kufika wapi kwenye msimamo kabla ya Agosti 21? Ingia ndani ya Meridianbet, chagua michezo ya Expanse na ufuatilie safari ya mashindano. Dau la chini ni TSh 500 kwa mzunguko.