Meridianbet imeendelea kuwapa mashabiki wa michezo na kasino sababu mpya za kufurahia burudani kwa kuzindua promosheni mpya inayojulikana kama Mzuka wa Mabingwa. Kampeni hii maalum imeandaliwa kwa watumiaji wa Airtel Money na inaleta nafasi ya kushinda zawadi kubwa zikiwemo Bajaj, PlayStation 5, Hisense TV, simu janja pamoja na mizunguko ya bure kila siku. Hii ni fursa inayowaunganisha wapenda michezo na burudani za kasino katika safari ya ushindi iliyojaa msisimko na zawadi zisizoisha.
Kupitia promosheni hii, mteja anatakiwa kuweka dau la kuanzia TZS 5,000 kupitia Airtel Money na kisha kubashiri mchezo wa michezo au kucheza mchezo wowote wa kasino wenye thamani ya angalau TZS 5,000. Baada ya hapo, mshiriki anaingia moja kwa moja kwenye droo za kila siku na kila wiki zenye zawadi mbalimbali. Kila siku washiriki wana nafasi ya kushinda mizunguko ya bure 250, huku kila wiki simu janja zikisubiri washindi wenye bahati.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mbali na zawadi za kila siku, Meridianbet imeandaa droo kubwa ambazo zitawapa washindi zawadi zinazotamaniwa na wengi. Bajaj mpya, PlayStation 5 pamoja na Hisense TV ni sehemu ya zawadi zinazoongeza hamasa ya kushiriki. Hii ndiyo roho ya mabingwa ambayo Meridianbet inaleta kwa wateja wake, kila dau linaweza kuwa mwanzo wa ushindi mkubwa zaidi.
Katika kipindi ambacho mechi kubwa za kimataifa na michezo ya kasino vinaendelea kutoa burudani ya kiwango cha juu, promosheni ya Mzuka wa Mabingwa imekuja kuongeza thamani kwa kila mchezaji. Meridianbet inaendelea kuthibitisha nafasi yake kama jukwaa linalowapa wateja zaidi ya ushindi wa kawaida, kwa kuwapa nafasi ya kutimiza ndoto kupitia promosheni mbalimbali.
Mashabiki wa michezo na kasino wanahimizwa kutumia Airtel Money kuweka amana zao na kujiunga na Mzuka wa Mabingwa mapema. Kila siku ni nafasi mpya ya ushindi, kila dau ni hatua moja kuelekea zawadi kubwa.