Mwamba wa michezo ya kubashiri nchini, Meridianbet anakukaribisha kushiriki katika promosheni kabambe kupitia mchezo pendwa wa kasino, Wild White Whale. Kuanzia hivi sasa, wateja wote wana nafasi ya kupata mizunguko 50 ya bure kila watakapokamilisha mizunguko 100 kwenye mchezo huu wa kusisimua.
Promosheni hii ni mahususi kwa kila mchezaji aliyesajiliwa na Meridianbet, na hutoa zawadi ya papo hapo ya mizunguko 50 ya bure bila kujali kama umeshinda au la kwenye ile mizunguko yako 100 ya kwanza. Hii ina maana, kila mzunguko wa mchezo ni fursa ya ziada ya kushinda zaidi.
Ili kushiriki, unachotakiwa ni kuwa na akaunti halali ya Meridianbet. Cheza mchezo wa Wild White Whale kwa kutumia pesa halisi, na baada ya kukamilisha raundi 100 za mchezo, basi mizunguko mingine 50 itaongezwa moja kwa moja kwenye akaunti yako bure kabisa. Kumbuka, ofa hii inatolewa kwa mteja mmoja tu kwa kila akaunti.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mizunguko yako ya bure haina masharti ya kuchezwa tena, hivyo unaweza kufurahia ushindi wako kwa uhuru. Meridianbet pia inahifadhi haki ya kufanya mabadiliko yoyote au kusitisha promosheni hii wakati wowote, bila taarifa ya awali.
Usikose nafasi hii ya kipekee ya kuburudika na mchezo wa Wild White Whale huku ukijizawadia mizunguko ya bure kila siku. Ingia sasa kwenye tovuti ya meridianbet.co.tz au application ya Meridianbet, anza kucheza, na ufurahie bahari ya ushindi.