Bassirou Diomaye Faye
RAIS wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza nia ya kuanzisha chama chake kipya cha siasa ili kuunganisha nguvu za wafuasi na mabaraza zaidi ya 300 ya muungano wake wa “Diomaye Président”.
Hatua hii inafuatia mipasuko ya kisiasa na serikali yake na chama cha awali cha PASTEF chini ya Ousmane Sonko.
Faye atakuwa amefuata nyayo za Bingu wa Mutharika wa Malawi mwaka 2005 na Joyce Banda pia wa Malawi mwaka 2011