Ile michuano mikubwa Duniani inazidi kupamba moto huku kule kwa wakali wa ubashiri nako tayari umeshawekewa machaguo unayoyataka. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari ya ushindi sasa.
Tukianza na Kundi H ambapo leo hii utapigwa mchezo wa kibabe sana kati ya Saudi Arabia dhidi ya Uruguay ambapo kila timu inahitaji ushindi siku ya leo. Uruguay wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na matarajio makubwa kutokana na uzoefu wao katika mashindano makubwa na kikosi chenye wachezaji wenye ubora wa hali ya juu kabisa.
Chini ya kocha mkuu ambaye ana uzoefu, Marcelo Bielsa, Uruguay wamekuwa wakicheza soka la kuvutia kabisa hasa wanapofanya mashambulizi ya moja kwa moja jambo linalowafanya kuwa timu ngumu kukabiliana nayo. Jisajili hapa.
Huku Saudi Arabia wao, lengo lao kubwa litakuwa kucheza kwa nidhamu kubwa na kuzuia kasi ya mashambulizi ya Uruguay. Saudi Arabia kwenye mchezo huu wa leo hawapewi nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi lakini wamewahi kuonyesha uwezo wa kushangaza dhidi ya timu kubwa katika mashindano makubwa, hivyo hawawezi kubezwa. Hivyo wanatarajiwa kujilinda na kuambulia kwa kushtukiza zaidi.
Tusua leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Je siku ya leo karata yako unaitupa wapi kwenye timu hizi mbili?. Meridianbet inakwambia kuwa Odds kubwa zinakungoja kwenye mechi hii ya leo. Bashiri hapa.
Mtanange mwingine siku ya leo ni huu ambao utaikutanisha Ufaransa dhidi ya Senegal majira ya saa 4:00 usiku huku nafasi kubwa ya kushinda pale Meridianbet wakipewa Wafarnsa kutokana na ubora wao.
Ikumbukwe kuwa Ufaransa ipo kwenye zile timu bora 5 zinazopigiwa chapuo la kuchukua kombe hili, lakini pia ni Wanafainali wa michuano iliyopita kule Qatar. Kikosi hiki chini ya Didier Deschamps wamekuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo hasa baada za michuano ile iliyopita. Wakiwa na wachezaji kama Kylian Mbappe, Dembele,
Lakini pia timu hiyo ina uwezo mkubwa wa kutawala mchezo kupitia umiliki wa mpira na kasi ya mashambulizi yao, jambo ambalo linaweza kuipa Senegal wakati mgumu.
Hata hivyo, kw aupande wa Simba wa Teranga yaani Senegal ni timu ambayo haiwezi kubezwa. Wawakilishi hao wa Afrika wamekuwa wakionyesha uimara mkubwa katika miaka ya hivi karibuni na wanajulikana kwa nidhamu yao ya ulinzi, nguvu za mwili na uwezo wa kushambulia kwa kasi.
Chini ya kocha mkuu Pape Thiaw timu hiyo imekuwa hatari zaidi huku wakiwa na wachezaji wenye ubora akma vile Sadio Mane, Nicolas Jackson, Mendy, Koulibaly, Ndiaye na wengine wanatarajiwa kufanya vyema kwenye michuano hii.
Kwaujumla hii ni mechi ambayo inaenda kuwa ya kibabe zaidi na ya kuvutia kwani pointi 3 ni muhimu sana kwa timu zote mbili, kila timu inataka kuanza na ushindi. Je ni Mbappe au Mane kuondoka na ushindi?. Jisajili hapa.