Pirates Power ni zaidi ya sloti ya kawaida. Ni safari ya kusisimua inayokuweka katikati ya bahari yenye siri nyingi, hazina kubwa na fursa za kushinda kila wakati unapocheza ndani ya Meridianbet.
Mchezo huu unakupa nafasi ya kushinda hadi x5000 ya dau lako, jambo linaloongeza hamasa kwa kila raundi unayocheza. Kila mzunguko unaweza kuwa mwanzo wa ushindi ambao umekuwa ukiusubiri kwa muda mrefu.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ukiwa na mistari 20 ya ushindi pamoja na njia 6 za kushinda, nafasi zako za kupata matokeo mazuri zinaongezeka. Kuna alama za Wild zinazoweza kuongeza ushindi mara mbili na Scatter zinafungua raundi za bonasi zenye zawadi za kuvutia.
Bahari ya Pirates Power pia imebeba jackpot zinazoweza kubadilisha siku yako. Mini, Major na Grand Jackpot zote zipo na zinamsubiri mshindi mpya kila wakati.
Usiruhusu jahazi liondoke bila wewe. Tembelea Meridianbet leo, cheza Pirates Power na ujionee mwenyewe kwa nini mchezo huu umevutia mashabiki wengi wa sloti.