Meridianbet imeendelea kuwateka mashabiki wa michezo baada ya kumtangaza Dejan Petković “Pet” kuwa Global Brand Ambassador mpya wa kampuni hiyo. Huyu ni nguli wa soka aliyewahi kutamba Brazil na Serbia, na sasa anakuja kuleta nguvu mpya kwenye dunia ya burudani na michezo kupitia Meridianbet.
Mashabiki wa Flamengo, Vasco da Gama na soka la Brazil kwa ujumla wanafahamu ubora wa Pet ndani ya uwanja. Kupitia ushirikiano huu mpya, Meridianbet imezindua Pet TV, jukwaa litakalowapa mashabiki stori za kipekee, burudani na vipindi vikali kuelekea Kombe la Dunia 2026.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Pet amesema yeye na Meridianbet wanafanana kwa sababu wote wamejenga mafanikio yao kupitia juhudi na kuamini ndoto kubwa. Kauli hiyo imegusa mashabiki wengi hasa vijana wanaopenda kuona mafanikio yakitokea kupitia kujituma na kutokata tamaa.
Kwa upande mwingine, Meridian Holdings imeendelea kufanya vizuri duniani baada ya kurekodi mapato makubwa zaidi mwaka 2026. Hii inaonyesha namna Meridianbet inavyozidi kukua na kuwekeza zaidi kwenye kuwapa watumiaji wake huduma bora na burudani ya kisasa yenye ubora wa kimataifa.
Kama wewe unapenda mpira, odds kali na ushindi wenye msisimko, basi Meridianbet imekuletea kitu kikubwa zaidi ya ubashiri. Kupitia Pet TV na ushirikiano huu mpya, mashabiki watapata nafasi ya kufurahia burudani ya kipekee inayochanganya michezo na ushindi wa kweli.