Kwenye mchezo wowote, mpaka filimbi ya mwisho inapulizwa, hakuna anayepaswa kukata tamaa. Ndivyo ilivyo pia kwenye Win&Go ya Meridianbet, ambako Lucky Loser imeongeza kitu kinachoweza kubadilisha kabisa mwisho wa tiketi. Ukitokea umekosa namba zote ulizochagua, badala ya kukubali kuwa kila kitu kimekwisha, tiketi yako inaweza kupata nafasi nyingine ya kuwa mshindi.
Lucky Loser inakuja na kitu ambacho hakika kinaongeza msisimko, dau lako linaweza kuzidishwa mara 30. Hivyo, kile kilichoanza kama tiketi iliyokosa namba zote kinaweza kuishia na tabasamu. Ni mabadiliko yanayofanya Win&Go kuwa na mvuto zaidi kwa sababu matokeo hayaishii tu kwenye namba ulizochagua.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ili kuwa sehemu ya fursa hii, kuna masharti muhimu. Lucky Loser inatumika kwa tiketi zilizowekwa kupitia cash account ya Meridianbet pekee, na tiketi hiyo inapaswa kuwa na namba sita ndani ya Win&Go. Hivyo, hakikisha unazingatia vigezo hivyo kabla ya kuweka tiketi yako.
Kwa mchezaji, hii ina maana moja kubwa, usihukumu tiketi yako mapema. Namba zikikosekana zote, bado Lucky Loser inaweza kuleta mabadiliko na kukupa nafasi ya kugeuza hali hiyo kuwa ushindi. Ni kama timu inayokuwa nyuma kwenye dakika za mwisho lakini ikapata bao la kusawazisha na kugeuza mchezo.
Win&Go sasa ina sababu zaidi ya kukufanya usubiri hadi mwisho. Cheza kupitia Meridianbet na kumbuka, kwa Lucky Loser, hata pale ambapo namba zote hazijaingia, tiketi yako inaweza bado kuwa na mwisho wa kushangaza.