Meridianbet imeongeza dozi nyingine ya msisimko kwa mashabiki wa michezo ya kasino mtandaoni kupitia Mystery Multiplier Drop. Kampeni hii inakuja na zawadi za vizidishi vya kushtukiza vinavyoweza kujitokeza kwa wachezaji wanaoweka dau linalokidhi vigezo. Hapa hakuna kuambiwa mapema utapata nini, kwani hutolewa kwa bahati nasibu. Kitu kimoja tu kinajulikana, bahati inaweza kukufikisha hadi x250 ya dau lako.
Katika Mystery Multiplier Drop, kuna viwango vitano vya vizidishi vinavyoweza kujitokeza. x10, x20, x75, x150 na x250. Hii ndiyo sehemu inayofanya kampeni iwe na mvuto wake. Unaweza kuingia kwenye mchezo bila kujua kitakachofuata, kisha ukakutana na bonasi inayoweza kuongeza msisimko wa tukio hilo.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Michezo ya Wazdan sasa inapata ladha mpya kupitia kampeni hii, kwani kila dau linalostahili linaweza kuleta burudani hii. Badala ya kujua kila kitu kabla ya kuanza, Mystery Multiplier Drop inaacha nafasi kwa bahati kufanya kazi yake. Kizidishi kinaweza kuwa kidogo au kikubwa, lakini huwezi kujua hadi tukio litokee.
Kama wewe ni shabiki wa burudani za Wazdan na unataka kuwa sehemu ya kampeni hii, jisajili na Meridianbet leo. Hakikisha unafuata masharti ya kampeni na kushiriki katika michezo inayohusika. Baada ya hapo, ni muda wa kuacha bahati ikufanyie kazi yake. Huenda ukakutana na 10 au 20, lakini pia kuna nafasi ya kuona vizidishi vikubwa zaidi kama x75, x150 au x250.
Kwa kifupi, Mystery Multiplier Drop ni kuhusu matarajio na nafasi ya kukutana na vizidishi vikubwa. Kutoka x10 hadi x250, hakuna anayejua bahati itatua wapi. Jisajili Meridianbet, ingia kwenye michezo ya Wazdan na uone ni ipi itakayokutana nawe.