Meridianbet imeongeza ladha kwenye burudani kwa kuja na Rewards Burst Prize Drops, promosheni inayowapa wachezaji nafasi ya kukutana na zawadi za papo hapo kila wanapofanya michezo inayokidhi vigezo. Hapa hakuna kujua sapraizi itatua lini, kwa sababu kila raundi inaweza kuwa tiketi yako ya kuelekea kwenye zawadi ya fedha taslimu au kizidishi chenye nguvu. Ukiwa ndani ya mchezo, kila sekunde inaweza kubeba habari njema.
Miongoni mwa vivutio vikubwa ni zawadi ya juu inayofikia TSh 75,000,000, ambayo hutolewa kwa bahati kwa mchezaji mmoja kila mwezi. Lakini si hivyo tu, kila siku kuna nafasi za kupata vizidishi kuanzia x5 hadi x1,000, huku maelfu ya zawadi zikisambazwa kila mwezi. Hii ina maana kwamba safari ya ushindi haiishii kwenye zawadi kuu pekee, kwani kuna nafasi nyingi za kunasa zawadi njiani.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mfano mzuri unaonyesha namna kizidishi kinavyoweza kugeuza dau kuwa ushindi mkubwa. Ukiweka dau la TSh 600 na ukapata Prize Drop ya x500, utapata kiasi cha TSh 300,000. Hesabu hii inategemea dau lako linalokidhi masharti wakati Prize Drop inaposhuka, huku kiasi cha juu kinachozingatiwa kikiwa TSh 3,000. Kwa hiyo, kizidishi chochote utakachokutana nacho kinaweza kuongeza msisimko wa mchezo wako.
Kwa kuwa Prize Drops zinapatikana kila siku, hakuna haja ya kusubiri mwezi mzima ili kuona kama unaweza kupata zawadi. Kila mzunguko unaostahili ni nafasi nyingine ya kushangaa, kushinda na kuongeza furaha ya mchezo.
Sasa ni wakati wa kugeuza kila mzunguko kuwa fursa nyingine ya zawadi ukiwa Meridianbet. Rewards Burst Prize Drops inakupa nafasi ya kushuhudia vizidishi hadi x1,000 na kuwania zawadi kuu ya TSh 75 milioni.