HALMASHAURI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan imempendekeza Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaripoti Zakia Nanga, Dar es Salaam … (endelea).
Hilo limetangazwa na Katibu Mkuu wa CCM,Dk.Asha Rose-Migiro usiku wa leo Jumatano 26 Agosti 2026 offside ndogo za chama hicho,Lumunba jijini Dar es Salaam
Dk.Migiro amesema baada ya kupendekezwa jina hilo litapelekwa bungeni kwa hatua nyingine.
Ndejembi ambaye ni Waziri wa Nishati anachukua nafasi ya Dk.Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu.