Meridianbet imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kusaidia jamii kupitia mchango wake katika Hospitali ya Kinondoni chini ya programu zake za kurudisha fadhira kwa wanajamii yaani CSR.
Msaada huo ulitokana na ushirikiano wa karibu kati ya kampuni ya Meridianbet na uongozi wa hospitali ya Kinondoni, ukiwa unalenga kuboresha upatikanaji wa huduma muhimu za afya kwa wananchi.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Wakati wa makabidhiano, mwakilishi wa Meridianbet, Nancy Ingram alisisitiza kuwa afya ya jamii ni msingi wa maendeleo na inapaswa kupewa kipaumbele na wadau wote.

Hospitali ya Kinondoni ilipokea msaada huo kwa furaha na kueleza kuwa utasaidia kuongeza ubora wa huduma na mazingira ya kazi.
Meridianbet inaendelea kuwa mshirika wa kweli wa maendeleo ya jamii kupitia sekta za afya, elimu na miradi ya kijamii.
